Mambo sita makubwa niliyojifunza kuhusu malezi

0 Views· 11/29/22
Aunt Sadaka's Lessons Podcast
0

Kwenye episode hii nataka kushare na wewe mambo sita makubwa niliyojifunza kuhusu malezi. Mimi kama mama ambaye nimelea mtoto wangu na watoto wengine wengi waliobahatika kupita kwenye mikono yangu haya ni mambo ambayo yalinifunza kwa kiasi kikubwa na kunifanya kubadilisha mtazamo wangu kuhusu malezi ya watoto. Kuna vitu tunafanya kwenye maisha yetu bila kujua kuwa kuna vurugu zilizopo ndani zinazotusukuma kufanya tunayoyafanya kama wazazi bila kujua tunajenga au kuharibu kiasi gani maisha ya baadae ya watoto wetu. Sikiliza halafu uniambie na wewe umejifunza nini kwenye comments hapo chini. Karibu.

Yaliyomo kwenye Episode hii.

00:03 Utambulisho
00:50 A silent screamer maana
01:23 Mama wa kambo si mama
04:14 Usipandikize chuki
04:53 Muonyeshe kwao ni wapi
06:53 Busu paji la uso
07:43 Vurugu zibaki kwa mke na mume
08:48 Thamini ubinadamu wake
09:28 Usimlinganishe mtoto wako unamvunja thamani
10:20 Tafuta chanzo
10:24 Jipendekeze kwa Mungu
11:50 Usipige nduru anapokosea/usimtangaze
12:46 Watoto wanaongea kwa hisia
14:26 Muonyeshe kwa vitendo
14:40 Mwisho

Watch and Subscribe ; https://www.youtube.com/@auntsadakalessons
Listen : https://linktr.ee/auntsadakalessons

Follow my Social Media accounts

https://twitter.com/auntsadaka
https://www.instagram.com/auntsadaka/
https://www.tiktok.com/
https://www.facebook.com/auntsadaka

Show more

0 Comments sort   Sort By

Up next