Chimbuko la Tamaduni – Abagusii
Chimbuko la Tamaduni – Abagusii

Chimbuko la Tamaduni – Abagusii

      |      

Subscribers

   About

Katika taifa la Kenya jamii ya Maa inatambuliwa kama mojawapo ya jamii zilizohifadhi tamaduni zake kwa muda mrefu. Jamii hii inaendeleza baadhi ya tamaduni zake, jambo linaloifanya kuwa hata kivutio cha watalii wanaotoka maeneo tofauti ya dunia kuja kushuhudia mtindo wa maisha wa wanajamii hawa. Lakini je unajua chimbuko la jamiii hii? Katika makala haya tunazama kutafuta mizizi na cchimbuko la jamii hadi hadi walipofika malai walipo sasa.

Gender: Male