Fahamu mambo haya juu ya Skapulari na matumizi yake.

0 Tampilan· 07/12/23
Radio Maria Tanzania
0
Di

Ungana na Martin Joseph katika Kipindi cha Maswali ya Imani, na swali linalojibiwa linahoji  juu ya maana ya skapulali,  Mwezeshaji Frateri Erasto  Mwamboka  Kutoka Parokia ya Moyo  Mtakatifu wa Yesu Ilambo- Jimbo  kuu la Mbeya.

Menampilkan lebih banyak

 0 Komentar sort   Sortir dengan


Berikutnya