INSIGHT MD 5

0 Pogledi· 09/27/23
Hekima Podcast
Hekima Podcast
0 Pretplatnici
0
U

Hatimaye umefikia mwaka wako wa mwisho wa mafunzo ya kuwa Daktari, Hongera sana.Ungana nami katika mfululizo wa dondoo za kukusaidia kufanikiwa katika mwaka wako wako wa 5 wa udaktari.Nini utegemee kukutana nacho katika mwaka huoNini kinahitajika ili uweze kufanya vizuri Namna ya kujipanga mara baada ya kumaliza shule.

Prikaži više

 0 Komentari sort   Poredaj po


Sljedeći