Kama Huna Wakushea nae Yanayokusibu SIKILIZA HII.

0 المشاهدات· 07/07/23
SaikoChat | Afya Ya Akili
SaikoChat | Afya Ya Akili
0 مشتركين
0
في

Tupo kwenye jamii ambayo ni mara chache kuona mtu ana mtu wa karibu wa keshea nae matatizo yake yanayomsibu wazi wazi, watu wengi wanakosa hawa watu sababu ya kukosa watu waaminifu. Wengi huogopa kwamba ikiwa watamweleza mtu basi watayakuta mtaani na yatazidisha tatizo zaidi.<br/><br/>Kwenye episode hii nimezungumza na yeyote ambaye hana mtu wa kushea nae matatizo yake. #SaikoChat #MentalHealth #AfyaYaAkili #AfyaYaAkili

أظهر المزيد

 0 تعليقات sort   ترتيب حسب


التالي