Maswali ya Imani.
0
0
0 بازدیدها·
06/14/23
Ungana na Brigitha Msasalaga katika Kipindi cha Maswali ya Imani, Mada inayozungumzwa ni Asili ya Utengano kati ya Wayahudi na Wasamaria, Mwezeshaji Frateri Ayuto Kongwa Mlola, Kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino -Peramiho Jimbo kuu la Songea.
بیشتر نشان بده، اطلاعات بیشتر
0 نظرات
sort مرتب سازی بر اساس
