Maswali ya Imani
0
0
0 Visualizzazioni·
08/18/23
Ungana Martin Joseph katika Kipindi cha Maswali ya Imani, na swali linalojibiwa linahoji juu ya uhusiano kati ya dhambi na Magonjwa ya Kimwili , Mwezeshaji Frateri Jacob Mkandawile , Kutoka Seminari kuu ya Mtakatifu Augustino Peramiho – Jimbo kuu la Songea.
Mostra di più
0 Commenti
sort Ordina per
